Taarifa zilizonifikia ni kwamba Mbunge John Mnyika ameshinda rufani yake iliyosikilizwa leo Disemba 7, 2012 kuanzia saa 3
asubuhi katika mahakama ya rufaa ya kupinga ushindi wake wa Ubunge Jimbo la Ubungo.
Baada ya rufaa hiyo kusikilizwa na jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufani, hoja za walalamikaji zimtetupiliwa mbali.
No comments:
Post a Comment