Mwaka 1995 ndiyo mwaka ambapo vyama vingi vilianza nchini Tanzania,
lakini ni mwaka huu ambapo mwanachama wa CCM na aliyekuwa waziri katika
serikali ya awamu ya Pili alipoamua kujiondoa CCM.
Nakumbuka ilikuwa 16/7/1995 siku hii CCM walipata
mtikisikiko Mkubwa na kumfanya mwalim Nyerere kudondosha chozi hadharani kwani KADA wa CCM na aliyekuwa Waziri wa Elumu wa
wakati huo Profesa Kighoma Ali Malima alipotangaza uwamuzi wake wa kuihama CCM.
Katika uamuzi huo Mgumu kwake na mchungu kwa CCM na Mwalim Nyerere.
Lakini maskini hakudumu kwani baada ya kujiunga na chama cha NAREA
(NRA) National Reconciliation Alliance na kufanya mkutano mkubwa huko Tabora, siku chache baadaye alifariki nje ya nchi.
Maswali bado ni mengi juu ya nini kilimsibu......., lakini leo tunakumbuka haya.
No comments:
Post a Comment