MAANGAMIZI YA KUTISHA YA WANANCHI WA BULIGI
(Wanyarwanda wahusika na unyama dhidi ya Wasukuma)
Hii
ni Taarifa ya kuteketezwa zaidi ya nyumba 500 za wananchi wa kabila la
Wasukuma kwa moto, pamoja na tani nyingi za mazao yao ambayo ni pamoja
na mpunga, mahindi, maharagwe, mtama, dengu, uwele, serena, pamoja na
mali zao zingine, katika eneo liitwalo Buligi, katika Wilaya ya Muleba.
Unyama huu wahusika wamejaribu kuuficha kwa jina la ‘Opresheni Okoa mazingira’.
Ni
lengo la Katiba ya Nchi yetu na Sheria pamoja na taarifa ifuatayo,
kwamba wote waliohusika na maangamizi haya waadhibiwe vikali, na
wananchi wote waliofanyiwa unyama huu ni lazima walipwe fidia za mali
zao na mateso ya kutisha waliyopata. Baada ya kuchomewa nyumba zao na
mali zao zote wananchi wengi wamelundikana makanisani, na wengi wako
maporini wakikimbia unyama wa kutisha na kuporwa mali zao. Vijiji
vilivyoteketezwa ni pamoja na Nyamiranda, Itunzi, Kasharara na Kiteme.
Uharamia uliendelea mpaka maeneo ya Karagwe na Biharamulo kama
alivyoeleza Mkuu wa Mkoa wa Kagera katika vyombo vya habari, kama gazeti
la Mtanzania Toleo nambari 7142 la tarehe 17/11/2012. Utetezi
wa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Col. Fabian Masawe wa maangamizi ya kutisha
ya Wasukuma, kama ulivyokuwa ule wa Waziri wa Ardhi Profesa Anna
Tibaijuka ambaye pia ni Mbunge wa Muleba Kusini, kwamba ilikuwa
opresheni maalum iliyolenga kuondoa wahamiaji haramu wenye maelfu
ya ng’ombe katika Hifadhi ya Taifa ya Buligiuna ukweli. Lakini Wasukuma
si wahamiaji haramu, kwa sababu ni wazawa katika nchi yao, na hayo
maelfu ya ng’ombe katika hifadhi si ya Wasukuma bali ni ya Watusi wa
Rwanda.
KIINI CHA MATATIZO YA WATUSI DUNIANI
Hakuna
asiyejua kuwa malengo makuu ya kuanzishwa Umoja wa Mataifa ni pamoja na
kulinda haki na usawa wa binadamu wote ulimwenguni, ili idumu amani na
kuleta maendeleo katika kuboresha maisha ya binadamu. Ndiyo maana ile
sera ya Makaburu ya udhalilishaji wa mtu mweusi au ubaguzi wa rangi
waliyoiita apartheid ilipigwa vita na dunia yote, mpaka ikatokomezwa. Hata
ushujaa wa Nelson Mandela unaopita umaarufu wa kiongozi mwingine yeyote
duniani, aliupata kwa sababu ya uhanga wake katika kutetea usawa wa
binadamu wa rangi zote duniani. Lakini apartheid
ya Makaburu haikuweza kuufikia ushetani wa Watusi, jinsi
wanavyowadhalilisha Wahutu na Wabantu wengine, kwa imani yao chafu sana
kwamba wao eti waliumbwa kwa ajili ya kutawala tu, na kwamba Wahutu
waliumbwa kwa ajili ya kuwa watumwa wao! Ni
makufuru yanayojulikana wazi ya Watusi kuwatema mate Wahutu au Wabantu
wengine kwa kinyaa kama vile ni mavi mbele zao. Na imani yao hii ya
kishetani ndilo chimbuko la mbinu na mikakati yao yote ya kutawala siyo
tu Maziwa Makuu bali hatimaye hata Afrika yote ya ‘watumwa’ wao! Tabia
ya Watusi ya kula wao kwanza, halafu kuwatupia makombo watumwa wao
(Wahutu), tena baada ya kuyatemea mate na makohozi, ni historia
inayojulikana na kila mzawa wa Maziwa Makuu. Hata maendeleo yalipozidi
kutowesha giza hili, bado wanawake Watusi walilazimika kudumisha
udhalili wa Wabantu kwa kuolewa na wale wenye mali lakini mimba wapate
kwa Watusi wenzao, ikibidi hata kwa ndugu zao wa damu kama hakuna Watusi
wengine karibu. Historia itamuenzi shujaa Gregory Kayibanda wa Rwanda kuliko inavyomuenzi Nelson Mandela wa Afrika Kusini, kwa kutokomeza ile apartheid chafu
kupindukia ya Watusi nchini Rwanda mwaka 1959. Ukweli ni budi
uheshimiwe na dunia kwamba Watusi wengi walikimbia kutoka Rwanda
kufuatia mapindizi yale, kwa sababu ya kukwepa balaa ya kuwa chini ya watumwa wao! Watusiwalikimbilia
Burundi na Tanganyika kwa baba yao Julius Nyerere, kujipanga kwa ajili
ya “kurudisha ubwana wao juu ya watumwa wao” Rwanda. Kwa
imani ya kishetani ya Watusi, Watanganyika kwao wao ni mataahira tu
kama Wabantu wenzao yaani Wahutu. Hata bila kupayuka Watusi
wanarithishana imani kwamba sisi tuliumbwa kwa ajili ya kuwa watumwa
wao. Ubwana wa Watusi uliimarishwa kwa kupandikizwa utwana katika mioyo
ya Watanganyika, wa kuwaona Watusi kuwa bora kuliko Wahutu pamoja na
hata sisi wenyewe! Hali
hii ndiyo iliyowezesha Watusi kujipenyeza katika sehemu zote nyeti za
utawala wa Nchi yetu, pamoja na uhodari wao katika matumizi ya rushwa ya
mapesa na chambo cha wanawake zao (the Tutsi sexual diplomacy). Ndivyo
Watusi walivyofanikiwa hata kuiteka kifikra jumuiya ya kimataifa,
ikabariki na kuwasaidia kuangamiza Wahutu zaidi ya milioni sita, na hata
kugeuza kibao kuhusu genocide ya Rwanda kwamba Wahutu ndio walioangamiza Watusi! Ndiyo
maana nchi yetu ilipokuwa na wakimbizi wa Kitusi na wa Kihutu, Watusi
walipendelewa kwa kuhudumiwa kama wafalme na kuandaliwa kurudi
“kuikomboa” Rwanda. Kwani ingawa Rwanda ilikuwa na utawala wa
kidemokrasi wa Wahutu walio wengi kwa asilimia 85% Watusi wakiwa asilimia 14% tu, ni haramu Watusi kuwa chini ya Wahutu kwavile eti ni watumwa wao! Ni kweli kwamba matokeo ya ufisadi na utwana wa watawala wetu wanaoamini katika ubwana wa Watusi, ni pamoja na kufurahisha Watusi na baba yao Nyerere kwa kuhusika kwa serikali yetu katika yafuatayo: 1. Maangamizi ya Wahutu zaidi ya 6,000,000, 2. Uvamizi
wa Jamhuri ya Rwanda kupitia Uganda na Burundi, ambapo maandalizi kwa
sehemu kubwa yalifanyikia nchini mwetu kwa mkono wa Serikali ya CCM. 3. Kuhusika
kikamilifu na mauaji ya kinyama ya marais watatu Wahutu wa Burundi na
Rwanda yaani Melchior Ndadaye, Juvenal Habyarimana na Cyprien Ntaryamira
pamoja na ujumbe wao wote, na ushetani mwingine wa kutisha. 4. Kujiuza
utumwani kwa Watusi, na kutumika kuliingiza eneo la Maziwa Makuu katika
Himaya yao, kwa kuwasaidia kuingia katika Jumuiya ya Afrika Mashariki,
wakati hawana sifa kabisa kulingana na Mkataba wa Uundaji wa
Jumuiya(EAC), kwa unyama wa ‘apartheid’ na genocide yao. 5. Kusaidia
uvamizi wa DRC uliofanywa na Kagame na Mseveni, watawala wetu wakaivika
aibu kubwa Nchi yetu kwa kukataa kushiriki katika Jeshi la SADC (SADC
Alliance) la kusaidia ndugu zetu dhidi ya maharamia, Nchi yetu
ikaongopea dunia bila aibu kwamba eti haiko upande wowote kati ya
wavamizi na mnyonge aliyevamiwa! 6. Kuwarudishia
RPF Wahutu takriban milioni moja kwa unyama usiosemeka, waliokuwa
wameyakimbia mauaji ya kinyama ya RPF baada ya kuvamia nchi yao, RPF
wakawapokea na kuwaangamiza wote, na kumwaga maiti zao kwa
maelfu katika mto Kagera, zikawa zinafunika Ziwa Victoria mpaka General
Mboma alipotoa Tamko la kuvamia Rwanda kukomesha ushetani huu wa RPF,
kama wasingeacha unyama huo mara moja. Nchi yetu inakabiliwa na kisasi cha Mwenyezi Mungu!
Na ishara tayari zinaonekana! Kuna kuacha upumbavu na kutengeneza na
Mwenyezi Mungu, ama mapigo makali kuliko yaliyoipiga Misri,
yatakayosimuliwa vizazi vyote! Kwa ufisadi na utwana wa
watawala wa nchi yetu kwa Watusi, bila chembe ya aibu wala hofu kwa
Mwenyezi Mungu waliikaribisha katika ardhi yetu ICTR, ikiwa nyenzo
maalum ya kuwasaidia Watusi kuangamiza Wahutu wote wenye uwezo kiuchumi
na kifikra duniani! Kenya iliikataa ICTR katika ardhi yake, kwa kumwogopa Mungu kwa sababu ni nyenzo ya genocide iliyoangamiza
mamilioni ya Wahutu, ikawafuata mpaka na wale milioni 2.5 waliokuwa
wamekimbizia uhai wao Mashariki ya Congo, na kuwateketeza kinyama! Kupenyezwa
kwa Watusi katika ngazi zote nyeti za utawala wa nchi yetu kumewezesha
Utusi kuteka nyara sera za nchi yetu zitumikie maslahi ya Watusi, kwa
gharama ya heshima ya utaifa wetu na maslahi ya nchi yetu. Na siyo siri
kwamba msingi wa laana hii yote iliyoonywa na Mwenyezi Mungu katika
Kumbukumbu la Torati, ulijengwa na dikteta Julius Nyerere, ambaye leo
anawekwa mahali pa Mwenyezi Mungu na kufanyiwa ibada ya ‘ubaba’ wa
Taifa! Utekelezaji wa
ndoto ya Nyerere ya kuweka eneo lote la Maziwa Makuu chini ya Himaya ya
Watusi unasimamiwa na vijana wake, madikteta Yoweri Museveni na Paul
Kagame aliyeangamiza mamilioni mengi ya binadamu duniani kuliko Adolf
Hitler. Propaganda za ‘Jumuiya au Shirikisho la Afrika Mashariki’
zinazopigiwa debe kwa nguvu na hawa Watusi, ni katika ujenzi wa hiyo
Himaya yao. Dikteta Yoweri Museveni ametangaza mara kadhaa haki yake ya kustahili kuwa Rais wa kwanza wa shirikisho la Maziwa Makuu (Himaya ya Watusi),
na anacho kikosi cha majasusi zaidi ya 400 ndani ya Nchi yetu,
yanaoiyeyusha nchi yetu kwa ajili ya kumezwa katika Himaya hiyo, na
mafanikio yanaonekana kwa jinsi utawala wetu wa CCM unavyonyenyekea
Watusi na kujidhalilisha kwao.
KUMEZWA KWA DRC KATIKA HIMAYA YA WATUSI
Mwuaji
wa kutisha Paul Kagame alikwishaikamata DRC baada ya kufanikiwa kumwua
Rais Laurent Kabila, akampenyeza madarakani Mnyarwanda Hypolite Adrien
Christophe Kanambe kwa jina bandia la ‘Joseph Kabila’. Wauaji wa Rais
Laurent Kabila baada ya kutoroshewa Rwanda walikimbiziwa hapa, ambapo
walihamishiwa Norway kimya kimya. Mnyarwanda
“Joseph Kabila” anayetawala Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kama Gavana
wa dikteta Paul Kagame, ni ndugu wa damu wa Mkuu wa Majeshi ya Kagame,
yaani James Kabarebe, ambaye pamoja na Kayumba Nyamwasa ndio
waliosimamia yale mauaji ya kutisha ya wale Wahutu milioni 2.5 waliokuwa
wamekimbilia DRC, ilipovamiwa nchi yao na wauaji wa RPF. Ni
sera ya Rwanda kuhakikisha kuwa DRC haiwi na Jeshi imara, mpaka hapo
mkakati wa Himaya yao utakapokamilika. Ndiyo sababu maafisa wa juu 7,000
wa Jeshi la DRC ni Wanyarwanda. Hypolite Kanambe (Joseph Kabila)
anatumikia maslahi ya Rwanda kwa uzalendo wa hali ya juu, na Rwanda
inapovamia DRC pilika za Hypolite A. C. Kanambe huwa ni usanii tu wa
kuhadaa ulimwengu. Vinginevyo
lazima DRC ingewapa silaha askari Wahutu waliojichimbia Congo, ambao
wana uwezo mkubwa sana wa kuutokomeza unyama wa Watusi. Hata uvamizi wa
Rwanda wa RPF ulifanikiwa kwa kutanguliza vikwazo vikali sana,
vilivyohakikisha kuwa majeshi ya Hayati Rais Habyarimana hayawi na
silaha. Historia ni budi
iwe sahihi, kwamba vijana wa Nyerere yaani Museveni na Kagame walivamia
Zaire kwa maelekezo ya baba yao, bila hayati Laurent Kabila, kwa malengo
ya kupanua Himaya yao na kuteka tani za dhahabu na madini mengine mengi
ya thamani Gbadolite, Kilomoto, Kinshasa, Kisangani na kwingine, kwa
ajili ya kujipatia mabavu ya kiuchumi ya kupanulia Himaya yao, na
kugharamia propaganda kali inayohadaa jumuiya ya kimataifa. Dunia
ilipoanza kupigia kelele uvamizi huo, ndipo Nyerere alipomtafuta
Laurent Kabila haraka, zikiwa zimepita wiki mbili baada ya uvamizi
kuanza, na kumtanguliza yeye mbele katika kuhadaa ulimwengu, kwamba ni
Wakongo wenyewe walikuwa wanaikomboa nchi yao kutoka kwa dikteta Mobutu!
Uvamizi ulipoingia
Kinshasa Kabila aliwageuka Watusi kizalendo, na kuwaambia sasa warudi
kwao wawaachie Wakongo nchi yao. Kwani aliyekusudiwa na Watusi kuwa
gavana wa Rwanda wa koloni hilo ni Bizimana Karahamheto au ‘Bizima
Karaha’ kwa jina la hadaa. Uporaji
wa kutisha wa utajiri wa DRC ndio mtaji wa jeuri yote ya Kagame leo, ya
kuchezea amani ya Maziwa Makuu, na kusambaza maelfu ya majasusi katika
nchi za kusini mwa Afrika, kuzifanyia kazi chafu ili hatimaye zimezwe
katika Himaya yao, mbali ya kugharamia kikosi chake cha Escadron de la mort kinachoua wapinzani wake popote walipo duniani. Siri
ya mkakati wa Nyerere wa Himaya ya Watusi ilionekana tangu alipotaka
kuchelewesha uhuru wa Tanganyika, eti mpaka majirani wapate wao ili
mkakati ufanikiwe, uhuni ambao ulishindwa kuuhadaa ushujaa kama wa Jomo
Kenyatta. Mzee Jomo Kenyatta alipogundua jinsi Nyerere anavyochezea
uhuru wa wana wa Tanganyika, hatimaye akaunajisi kwa ‘Muungano’ kwa
ajili ya maslahi ya Wamarekani katika vita baridi, alilaani kwamba
“Hakika Nyerere anatawala maiti” Ndiyo
maana ni Watanganyika peke yao duniani wasiojali uhuru wao, wala hatima
yao na vizazi vyao vijavyo, wala maslahi ya Nchi yao! Hii ni baada ya
kupigika vizuri vichwani mwao ili wawe kama makondoo ya mtawala, waweze
kuvikwa kwa ulaini kongwa la utumwa kwa Watusi, kwa maslahi ya kifisadi
ya watumwa walio madarakani, wanaouza utu wao na hatima ya Nchi
yao kwa utamu wa tende na halua, zinazomung’unyika mara moja na kupotea!
Saa ya ukombozi ni sasa! Ndivyo
utaahira wetu unavyoonekana kwa dunia yote ya wenye akili kuhusu kongwa
la utumwa la Watanganyika liitwalo “Muungano”, lenye maslahi ya
kifisadi ya watwana wachache sana wanaotawala, kama si mmoja tu, lakini
kwa gharama ya Uhuru wa Watanganyika, heshima yao na utambulisho wao
kama Taifa takatifu la heshima tangu katika Unabii wa Mwenyezi Mungu,
tena kwa gharama ya raslimali za Watanganyika na matrilioni ya fedha ya
damu yao! Utaahira wetu sisi Watanganyika unaonekana zaidi baada ya Zanzibar kujitoa rasmi katika huo ‘muungano’ kikatiba, ambapo kwa ajili ya maslahi ya kifisadi watawala wetu wanafumbia macho ukweli kwamba muungano umebatilika! Na kwa
ujinga kama wa kuku anapodhani haonekani kwavile amefunika macho yake
kwa bawa lake, hawa nao wamekazana kuudanganya ulimwengu kwamba muungano
bado upo, na hata kulazimisha raia waukiri kiwendawazimu usanii huo! Lakini
ukweli ni kwamba baada ya Zanzibar kujitoa rasmi yaani kikatiba katika
muungano, Wazanzibari ni wachache sana mafisadi na wasaliti waliohongwa
madaraka watetee bila haya usanii wa muungano batili, kwa maslahi yao ya
kibinafsi, huku wakisingizia maslahi ya ukupe wa Taifa lao (parasitic advantages) katika damu ya Watanganyika.. Kama
chatu anavyomvunjavunja mnyama ili awe rahisi kumezeka, ndivyo Nyerere
alivyowahasi kifikra Watanganyika na kuwafisha ari ya ukombozi wao na
utaifa wao, mpaka kwa kafara ya mwenge, ili wawe rahisi
kuvishwa kongwa la utumwa la Watusi. Upofushaji wa jinsi hii huua kabisa
uzalendo ndani ya dhamiri ya kila raia katika nchi, na kuwaacha
wananchi katika minyororo ya woga tu akilini mwao, badala ya uhanga kwa
ajili ya Taifa lao.
KAGAME NA MUSEVENI - HATARI SANA KWA TAIFA LETU!
Uharamia
anaoufanya Kagame kule Mashariki ya Congo hapa kwetu alifanikiwa siku
nyingi. Tofauti ya DRC Mashariki na mikoa yetu ya Kagera na Kigoma ni
kwamba wenzetu wanayo hata majeshi ya mgambo ya uzalendo wao yanayotetea
ardhi yao na uhuru wao, kama vile Mai Mai. Lakini sisi tuliuawa kabisa
uhanga wetu kwa ajili ya Nchi yetu. Tumebaki kuwasujudia wageni
wanaoteka na kuipora nchi yetu, na kututia utumwani katika nchi yetu
wenyewe. Hii ndiyo raha ambayo Nyerere aliwaandalia Kagame na Mseveni
kwa Watanganyika. Kagame
tayari ameingiza katika Nchi yetu Wanyarwandazaidi ya 35,000 wenye
silaha, wengi wakiwa katika mapori ya Hifadhi ya Taifa ya Buligi na
maelfu ya ng’ombe waliowaingiza kutoka kwao Rwanda na Uganda. Kwani
kule kwao wamejiwekea sheria kali ya kuokoa mazingira yao, kwamba ni
marufuku mtu kumiliki zaidi ya ng’ombe tano (5). Kwahiyo mamia ya maelfu
ya ng’ombe zao wameziingiza katika ardhi yetu kwa njia za porini, na
wapo Wanyarwanda wenye ng’ombe mpaka 10,000 mtu mmoja ndani ya Nchi
yetu. Maelfu
mengi ya ng’ombe hao wa Wanyarwanda wanajulikana kuwa mali ya dikteta
Paul Kagame mwenyewe na mawaziri wake, na wengine ni mali ya dikteta
Yoweri Mseveni, wengi wakiwa hata na mihuri ya NRA! Mbali ya Hifadhi ya
Taifa ya Buligi, maelfu mengi ya ng’ombe wao wamewaswagia katika mapori
yetu ya Kasindaga, Katete, Kinesi (Karagwe), Nyakerera, Kyobuheke na
Misambya na kwingineko, ambako Wanyarwanda wamejikatia mabuloku makubwa
sana (Blocks) ambayo wazawa hawaruhusiwi kukanyaga, na wakithubutu ni
kuuawa. Kitendo cha Kagame na Museveni cha kuifanya Nchi yetu kwamba haina Utaifa na heshima ya mipaka yake (sovereignty and territorial integrity) kama zilivyo nchi zao, ni Tangazo la Vita! Ni
lazima tujibu mapigo kwa nguvu kuliko tulivyomjibu dikteta Idd Amin
Dadah. Majeshi yetu yaanze mazoezi makali ya vita, na raia waanze upya
mafunzo ya mgambo kwa ajili ya Nchi yetu. Kama
lilivyoanza tatizo la uvamizi wa Kagame DRC Mashariki, maelfu ya
Wanyarwanda tayari wamekamata ardhi yetu kubwa sana, kwa kutumia vibali
bandia vya kuishi nchini, na makaratasi ya uraia bandia wa Nchi yetu.
Jasusi la Kagame liitwalo Athanas Kafurama mara nyingi hudhalilisha
wazawa wa nchi yetu kwamba hawana kitu vichwani, na kwamba Tanzania inamjali mtu mwenye pesa yaani kama wao, na siyo raia wake walalahoi! Kagame
amefanikiwa kwa sehemu kubwa kuiteka kimya kimya mikoa yetu ya Kagera
na Kigoma! Hata Mkuu wa Mkoa wa Kagera Col. Fabian Masawe unamwuma moyo,
jinsi Kagame na Mseveni walivyopenyeza askari zaidi ya 35,000,
waliojichimbia na maelfu ya ng’ombe, hasa katika Hifadhi ya Taifa ya
Buligi. Wanyarwanda wamekamata ardhi yetu kubwa sana, bila kuwa hata na
vibali vya kuwepo nchini mwetu. Kabla
ya kueleza zaidi juu ya uvamizi wa Buligi mkoani Kagera, tunapenda
ifahamike kwamba Mkoa wa Kigoma umeingiliwa na Wanyarwanda na Warundi
zaidi ya 100,000, ambao tayari wameteka sehemu kubwa ya ardhi ya Taifa
letu, katika upanuzi wa Himaya yao. Tena wanajipenyeza kupitia katika
makanisa maalum yanayoeleweka. Tayari
wameanza kufanikiwa kukamata utawala wa Nchi yetu, kama vile Mnyarwanda
aitwaye Peter Serugamba alivyoteka Jimbo la Kigoma Mjini, au Diwani
John wa Kata ya Gungu. Watusi wamegundulika kuwamwagia rushwa viongozi
wa vijiji na vitongoji ambao wanawatumia kuiteka ardhi yetu, na nafasi
hizo wamepanga kuzichukua wao katika kuijenga Himaya yao. Vikao
vya Watusi vya mikakati yao ya kuitwaa Nchi yetu katika Himaya yao
mjini Kigoma hufanyikia katika hoteli ya Coast View, iliyojengwa kwa
mtaji uliotoka Rwanda, ambao ni utajiri ulioporwa Congo. Watusi
hawafichi katika majigambo yao, kwamba wanaweza wasilazimike kutumia
nguvu za kijeshi kuitwaa ardhi ya Tanzania, kwa sababu eti wanaweza
kutumia rushwa tu na akili kuichukua yote bila shida! Wanaujua udhaifu
wetu kwa sababu walijipenyeza katika ngazi zote za utawala wa Nchi yetu,
katika majeshi yetu, Uhamiaji, Taasisi zetu za fedha, Usalama wa Taifa
n.k. Ndiyo maana Nchi yetu takatifu imetumika katika unyama wa kutisha
kwa maslahi ya Watusi. Ni
kweli pia kwamba nchi yetu inao watawala wanaoweza kununuliwa kirahisi
kwa mapesa ya Wanyarwanda, ng’ombe zao na au mabinti wa Kitusi. Ndiyo
maana wanampigia debe na kumwinamia mwuaji wa kutisha Paul Kagame,
wakati wanajua kabisa kwamba: 1. Kagame
amemwaga kinyama sana damu ya mamilioni ya Wahutu, ambao bado
anaendelea kuwaua usiku na mchana, kuliko Adolf Hitler alivyowaua
Wayahudi. 2. Kagame anaendesha mauaji dunia nzima, kwa kutumia kikosi chake maalum cha Escadron de la mort, ambacho ndicho alichotumia hata kumwangamiza Bingwa wetu wa Sheria, Hayati Profesa Jwani Mwaikusa, kwa kosa la kuweka wazi katika ICTR kwamba mtuhumiwa mkuu wa genocide katika Maziwa Makuu ni dikteta Paul Kagame.
Kagame alihofia kwamba kutokana na majumuisho ya mwisho ya Mwanasheria
huyo, lazima Ulimwengu ungelazimisha kukamatwa kwake na kufikishwa mbele
ya Sheria. 3. Kagame akiwa na cheo cha Meja alikuwa mstari wa mbele kumwua Rais Thomas Sankara wa Burkina Faso, kule Uagadougou. 4. Kagame
alikuwa Burundi kwa ushirikiano wake muhimu na Jean Bikomagu, katika
mauaji ya kikatili sana ya marehemu Rais Melchior Ndadaye. 5. Kagame
ndiye aliyehusika kikamilifu na utunguaji wa ndege iliyomchukua Rais
Juvenal Habyarimana wa Rwanda pamoja na Rais Cyprien Ntaryamira wa
Burundi. 6. Kagame analaaniwa na dunia nzima kwa kumfanyia unyama wa kutisha mwanasiasa mwanamke, shujaa Victoire Ingabire,
ambaye amemtupa gerezani kwa kosa la kugombea Urais wa Rwanda akiwa
Mhutu, na kosa la kuwa na kibali kwa wananchi wa Rwanda kuliko yeye
aliyeloa damu ya mamilioni ya binadamu aliowaua kinyama. 7. Kagame
amemwaga majasusi zaidi ya 1,000 katika Nchi yetu, wanaotumia ufisadi
wa mapesa, ngono n.k katika kutengeneza mazingira ya kutekwa utawala wa
nchi yetu na Watusi na hatimaye nchi yetu kuwa mkoa wa Himaya yao. Kama
ilivyoelezwa juu, maelfu yao wamefanikiwa kujipenyeza katika taasisi
zote nyeti za dola ya Nchi yetu. Walipoishika Uhamiaji waliitumia kujipa
uraia na kukamata nafasi nyeti na ardhi yetu pia. 8. Maelfu
ya majasusi wa Kagame wanajifanya wanashughulikia mizigo ya Rwanda na
Uganda, wengine wanajifanya wafanyabiashara au wanatafuta kuwekeza,
wengine wanajifanya wanafunzi. Lakini ukweli ni kwamba Taifa letu liko
uchi kwa Kagame, kwa sababu kila tunachokifanya katika Nchi yetu
kinaripotiwa Rwanda masaa 24. Katika Jiji la Dar es Salaam, Mikocheni
ndiko walikojaa Wanyarwanda hao kama kwao. ANGALIZO: Jumuiya
ya Afrika Mashariki ilivunjika mwaka 1977 kwa sababu moja tu kwamba
ilishindikana viongozi wa nchi tatu wananchama yaani Tanzania, Kenya na
Uganda kukutana pamoja, kwa ajili ya kupitisha maamuzi yote muhimu ya
uendeshaji wa shughuli zote za Jumuiya. Kwa sababu Rais Julius Nyerere alikataa kukaa meza moja na Rais Idd Amin Dadah wa Uganda, kwa sababu Amin alikuwa mwuaji.
“Siwezi kuchangia meza moja na mwuaji aliyeloa damu” alitamka Rais
Nyerere, ulimwengu wote ukamuunga mkono hata mgomo wake uliposababisha
kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki! SWALI: Ikiwa
Nyerere alikataa kukaa meza moja na dikteta Idd Amin kwavile aliua
binadamu takriban 350,000, Jumuiya ya Afrika Mashariki ikavunjika kwa
sababu ya kuthamini uhai wa binadamu kuliko vitu vingine vyote, hawa
watawala wetu wa leo wa CCM ni binadamu wa jinsi gani, ikiwa wanaweza
kulikumbatia na kulipigia debe na hata magoti liuaji la kutisha kama
Paul Kagame, lililoua kinyama binadamu zaidi ya 6,000,000 Rwanda,
Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Tanzania, Kenya, na
kuwapelekea wengine kifo kule kule Ulaya walikokuwa wamekimbizia uhai
wao? Watu wa hatari
kuliko wote kuhusu amani katika Maziwa Makuu ni hawa madikteta, Paul
Kagame na Yoweri Museveni, walioangamiza mamilioni ya raia wa Maziwa
Makuu, wakavamia Jamhuri dada za Rwanda na Zaire (DRC) na kuangusha
tawala za mataifa hayo huru, na kuipora Congo mpaka dunia nzima
inawapigia mayowe kama majambazi ya hatari! Watawala
wetu wanakuwa katika akili za namna gani wanapokwenda Kampala na
Kigali, na kukaa na Kagame na Museveni na kuzungumzia eti amani katika
eneo la Maziwa Makuu, wakati hao ndio wavunjaji makatili wa hiyo amani? Hivi
ni kweli akina Kikwete hawana hofu kwa Mwenyezi Mungu, kiasi cha kuamua
kumsaliti jirani mwema aliyevamiwa na kuangamiziwa mamilioni ya raia
wake kwa kosa tu la kuwa Wahutu, na kuwasaidia maharamia waliomvamia? Ni aibu kubwa zaidi kwamba watawala wetu waliishia kukubali umamluki,
wa kuwasaidia Kagame na Museveni majeshi eti yakawasaidie kuangamizia
Wahutu waliopokonywa nchi yao ya Rwanda, na mashujaa wanaopinga udikteta
wa damu wa Yoweri Museveni nchini Uganda! Huku ndiko kuhimiza kisasi
cha Mwenyezi Mungu juu ya nchi yetu!
UHARAMIA ULIOFANYWA NA WANYARWANDA BULIGI
Kwanza
kabisa, Wanyarwanda hawatasahaulika walivyotikisa Mkoa wa Kagera
walipoingia kule kwa uharamia wa kutumia silaha, wakajulikana kwa
ufupisho kama Wanyaru. Wanyarwanda waliteka magari, walipora
fedha na mali zingine za wananchi, na zaidi waliteka ng’ombe za wananchi
na kuzikimbizia Uganda, ambako walizibadilisha na kuleta nchini wale
ng’ombe wa kwao, ambao wako tofauti na wetu kimaumbile. Huu ni ujanja wa
kawaida wa kijambazi. Uharamia
wa Wanyarwanda ulishamiri mno mkoani Kagera, hapo Buligi pakawa kama
makao yao makuu ya kutisha, ndiyo maana palipewa jina la Kosovo. Pori lote mpaka Kyamyorwa lilikuwa halipitiki kwa sababu ya hatari ya Wanyaru.,
ambao walikuja kutokomezwa na ulinzi wa jadi wa Wasukuma na ushirikiano
wa dhati wa Kamanda mzalendo wa Polisi, Inspekta Samson ambaye hivi
sasa yuko Wilayani Chato Mkoa wa Geita. Kutokana
na umahiri wa Wasukuma katika kupambana na uharamia kwa ulinzi wao wa
jadi au Sungusungu, Mheshimiwa Wilson Masilingi akiwa Waziri katika
Ofisi ya Rais na Mbunge wa Muleba Kusini, alipopita mikoa ya Ukanda wa
Ziwa aliwahamasisha Wasukuma kwamba wahamie maeneo ya Kyamyorwa na
Kasindaga na kwingine mkoani Kagera, na kwamba wapewe na mashamba kwa
sababu ni kweli kwamba Wasukuma kwa asili ni wazalishaji hodari. Wasukuma
waliitika mwito huo na kuhamia huko, na ni kweli kwamba waligeuza eneo
lile kuwa kitovu cha uzalishaji usio kawaida wa mazao ya mpunga,
mahindi, dengu, mtama, ulezi, serena na mengine mengi, mbali ya ufugaji
wao. Baadaye Wasukuma hao
walihamishiwa Buligi kutoka hapo Kyamyorwa, kwa maombi ya Waziri wa
sasa wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Muleba
Kusini, Profesa Anna Tibaijuka, kwa msingi kwamba eneo hilo ni la
kampuni ya Itente ambayo yeye ni mhusika. Profesa Anna Tibaijuka
aliandika hata katika kitabu chake cha kampeni yake ya Ubunge wa Muleba
Kusini, kuwa Wasukuma wengi walikuwa wamepewa eneo la Kyamyorwa kwa
makosa, kwavile eneo hilo lilikuwa la Kampuni hiyo. Waziri
Anna Tibaijuka anakiri kwamba aliwaombea Wasukuma Serikalini wakapewa
uhamisho kwenda Buligi, na kwamba yeye mwenyewe aliwasaidia hata usafiri
wa kuhamia Buligi. Wazalishaji wa Kisukuma waliongezeka huko Buligi,
baada ya ndugu zao waliokuwa wamewaacha nyuma kuvutiwa na ushuhuda mwema
wa uzalishaji wa wenzao waliotangulia huko, baada ya mageuzi ya eneo
lililokuwa ‘Kosovo’ kuwa paradiso ya amani na maendeleo. Ni
kweli kwamba Wasukuma walipofika uhamishoni Buligi, kwa uhodari wao
katika uzalishaji na umahiri wao katika ulinzi wao wa jadi, waliigeuza ‘Kosovo’,
ikawa kihenge cha chakula cha Mkoa wa Kagera, wakizalisha mpunga,
mahindi, maharagwe, dengu, mtama, ngano, uwele, mihogo, migomba, viazi
ulaya, vitunguu, nyanya, mboga na hata miti kwa ajili ya hifadhi ya
mazingira, kwa kadri walivyoshauriwa kitaalamu. KWAHIYO ukweli hauwezi kukwepeka kwamba : 1. Uchomaji
wa nyumba zaidi ya 500 za wananchi wa kabila la Wasukuma katika maeneo
ya Buligi na mengineyo kwa kisingizio cha ‘Operation Okoa Mazingira’
ulilenga kuwaangamiza Wasukuma pamoja na mazao yao tele waliyokuwa nayo
majumbani mwao pamoja na mali zao zingine zote. 2. Huko
Buligi na maeneo mengine ambako Wasukuma wanazalisha kwa wingi mazao
hayo yote, Wasukuma waliletwa na Serikali, si wavamizi. 3. Wasukuma hawakuvamia mapori ya Wanyarwanda au ya mtu mwingine yeyote. Kwani Vijiji vyote wanavyoishi vinawatambua, hata kwa mchango wao mkubwa sana katika uzalishaji. 4. Wasukuma
hawajaingia katika Hifadhi ya Taifa, wala hawana ng’ombe hata mmoja
katika Hifadhi, bali Wanyarwanda ndio wenye mamia ya maelfu ya ng’ombe
katika Hifadhi, ambamo hata wanyamapori wetu Wanyarwanda wamewamaliza.
Wanyarwanda huhonga mamilioni ya fedha na ng’ombe kwa maafisa wa
wanyamapori na watumishi wengine wa umma. 5. “Operation Okoa Mazingira”
haikulenga wahamiaji haramu ambao ni Wanyarwanda, wala mamia ya maelfu
ya ng’ombe zao kutoka Rwanda na Uganda hususan katika Hifadhi ya Taifa,
kwa sabau Wanyarwanda hawakuguswa kabisa, bali walikuwa wakishangilia
wanavyofanyiwa unyama Wasukuma, ambao wala hawana ng’ombe katika Hifadhi
kunakoharibiwa mazingira! 6. Nyumba
za Wasukuma zilizoteketezwa hazikuwa katika Hifadhi, bali katika vijiji
na vitongoji rasmi vyenye serikali halali za Vijiji na Vitongoji. Mfano
ni nyumba 105 za Kishonga B Barabara ya 9, katika Kijiji cha Nyamilanda
Kitongoji cha Nyakabingo, na Kijiji cha Itunzi Kitongoji cha Miziro.
Wenyeviti wa Vijiji vya Nyamilanda na Itunzi ni mashahidi, na
wanalalamikia unyama wa kuchomewa nyumba wananchi wao. 7. Uteketezaji
wa nyumba za Wasukuma uliambatana na unyang’anyi wa pesa zao, kuanzia
shs 100,000/- hadi shs 4,000,000/- kwa Msukuma mmoja, na kuwapa
stakabadhi feki zilizoandikwa “WAZABUNI WA MASOKO/ MIALO/VIVUKO. Eti ADHABU kwa ajili ya hatia zilizobuniwa zikiwa ni pamoja na uharibifu wa mazingira, kufyeka misitu ovyo, zingine ziliandikwa ‘Kusafirisha mifugo bila kibali’
Tunaambatanisha vivuli vya stakabadhi feki zilizotumika (Nambari
135559, 135519, 135562, 135356, 135520,135367). Tena walipora mapesa
mengi sana kuliko waliyoandika katika stakabadhi, na walio wengi
hawakepewa hizo karatasi! Huu ni unyang’anyi na ujambazi wa wazi kabisa! Tunawaachia kazi DCI na Takukuru. 8. Maelfu
ya wananchi waliofanyiwa unyama huu walilundikana makanisani, kwa ndugu
zao na marafiki zao, na wengi walilazimika kuishi maporini, ambako
wanawake wapatao watatu walijifungua kama wanyamapori. 9. Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Lemberis Kipuyo, ambaye alikuwa ameonwa na Mnyarwanda aitwaye Athanas Habamungu Kafurama,
na kibaraka wa Wanyarwanda ambaye ni Mwenyekiti wa Kijiji cha Kisana
aitwaye Julius Rwechungura, baada ya kuchangwa shilingi milioni 100
katika kikao cha Wanyarwanda katika kanisa lao la Butera tareke
31/10/2012, kulingana na majigambo ya Wanyarwanda na Kafurama mwenyewe,
ndiye aliyeonekana kusimamia unyama huo, ingawa yeye ndiye mwangalizi wa
amani na usalama katika Wilaya! 10. Mkuu
wa Wilaya Lemberis Kipuyo alipohojiwa na waandishi wa habari kuhusu
unyama huu wa kutisha, alikiri kwamba wamechoma moto nyumba eti
zilizokuwa katika Hifadhi, eti kwa ajili ya kulinda mazingira ya Mkoa wa
Kagera na kuhamisha wahamiaji haramu wanaoingia na makundi makubwa ya
ng’ombe katika Hifadhi. 11. Kama
alivyoeleza Lemberis Kipuyo, unyama huo wa kutisha uliosukwa na
Wanyarwanda na kutekelezwa kwa usimamizi wake yeye mwenyewe Mkuu wa
Wilaya, ulianza tarehe 3/11/2012 saa 3 asubuhi katika eneo la Buligi. Na
kama alivyosema hata yeye Mkuu wa Wilaya, maharamia waliowafanyia
wananchi wa kabila la Wasukuma unyama huu ni: Askari wa Jeshi la Polisi Usalama wa Taifa Takukuru Wafanyakazi wa Idara ya Misitu Wafanyakazi wa Idara ya Uvuvi, ambao baadhi yao walitambulika. Askari wa Wanyamapori, ambao baadhi yao walitambulika. Askari wa Jeshi la Ulinzi, waliotambulika kwa sare zao. Maharamia waliovaa sare za Mgambo. Lemberis Kipuyo alisema walikuwemo pia Wanasheria katika unyama huu. 12. Wananchi
waathirika walipokusanyika Kituo cha Polisi Miziro, Mkuu wa Wilaya
Lemberis Kipuyo alifika hapo. Lakini alipoombwa afike ajionee makazi ya
wananchi wake yalivyoteketezwa, aliwapuuza isivyo kawaida hata
kibinadamu, ingawa umbali haufiki hata kilometa! 13. Kwa
kuhofia makusanyiko ya vilio vya Wasukuma, jasusi Mnyarwanda Athanas
Kafurama alikwenda kumchochea Mkuu wa Wilaya azidishe unyama kwa madai
kwamba eti Wasukuma wamejiandaa kuvamia Kituo cha Polisi Miziro. Ndipo
unyama ulipozidishwa maradufu kuwaangamiza Wasukuma, na kuwawinda wale
wote wanaoogopwa kama waelewa, na wengi ikawabidi kukimbilia maporini na
kuishi huko kama wanyamapori licha ya mvua nzito.
WANYARWANDA WALIVYOIPINDUA OPRESHENI DHIDI YAO
(Kwa kuwageuzia kibao hicho Wasukuma)
Wanyarwanda walipoijua ‘Opresheni Okoa Mazingira’ kwamba imeandaliwa rasmi kwa ajili ya kuwatokomeza wahamiaji haramu
yaani wao, na kwavile waliwashika mkononi viongozi wote kuanzia Mkuu wa
Wilaya kama walivyokuwa wanajigamba, na kama walivyokuwa wanajihami kwa
rushwa kwa uharamia wao wote wanaoifanyia Nchi yetu, ndivyo
walivyojipanga kuwatoa kafara Wasukuma Serikali
yetu ilikuwa na taarifa zote za mikakati ya dikteta Kagame na Museveni
juu ya Nchi yetu, yaani uvamizi wenye lengo la kuiteka ardhi yetu kama
vile wanavyofanya Congo Mashariki, uporaji wa raslimali zetu, na
walivyohamishia mamia ya maelfu ya ng’ombe zao katika Hifadhi za Taifa
letu na utekaji wa ardhi ya wananchi, na hata kulisha mifugo yao katika
mazao ya wananchi, wakitetewa na vibaraka wao ambao ni viongozi wetu
wala rushwa. Wamiliki halisi wa haya mamia ya maelfu ya ng’ombe ni marais na mawaziri wa Rwanda na Uganda,
ambao wanayo mahusiano ya kifisadi na viongozi wetu mafisadi au Watusi
kama wao. Ndiyo maana azma ya Serikali yetu ya ‘Opresheni Okoa
Mazingira’ imekuwa ikipozwa kwa ufisadi kwa muda mrefu, huku maadui
wakizidi kujichimbia na kuangamiza mazingira. Lakini
kwa nguvu ya wale viongozi wetu waliobaki na uzalendo, Serikali yetu
ilikazana na mpango kabambe wa OPERATION ‘OKOA MAZINGIRA’, kwa ajili ya
kutokomeza kabisa uvamizi wa Watusi katika Nchi yetu (wahamiaji haramu),
na kutowesha ng’ombe zote zilizoingizwa katika Nchi yetu, zenye
kuhatarisha uhai wa vizazi vyetu vijavyo kwa kuharibu vibaya sana
mazingira. Kilio cha
wananchi juu ya uvamizi wa ardhi yetu na kuingizwa maelfu ya ng’ombe
katika Nchi yetu kutoka Rwanda na Uganda kilianza mwaka 2009.
Wanyarwandawalipopata taarifa juu ya ‘Opresheni Okoa Mazingira’ dhidi
yao, walifanya mikutano kadhaa mizito katika kanisa lao la Butera,
linaloongozwa na Mtusi wa hatari aitwaye Augens. Tawi la kanisa hilo liko Chanyamisa, Karagwe, ambako pia linatumika kwa mikakati hii ya Kagame. Opresheni Okoa Mazingira
iliyokusudiwa kutokomeza wavamizi wa Nchi yetu na maelfu ya mang’ombe
yao yanayoharibu mazingira ya Nchi yetu, iligeuzwa na walengwa,
Wanyarwanda, kuwa unyama wa kutisha wa kutowesha katika eneo hilo
wananchi wa kabila la Wasukuma, na kuwapora mali na ardhi wanayozalishia
mavuno yaliyotia fora katika mkoa wa Kagera. Katika kuwatwika Wasukuma dhoruba ya ‘Operation Okoa Mazingira’ ambayo iliwalenga wao, Wanyarwanda walianza kwa kuwachonganisha kirahisi kabisa Wasukuma na ndugu zao Wahaya; Kwavile
Mhaya mwenye kulima ekari nne au tano ndiye aliyeonekana kuwa mkulima
stadi, lakini Wasukuma wakawa wanalima ekari mpaka 50 mkulima mmoja,
Wanyarwanda walitumia kwa ufundi wao kigezo hicho kupandikiza mbegu ya
kijicho miongoni mwa Wahaya, ambao wamekuwa wepesi kukabidhi kwa
Wanyarwanda ardhi yetu. Hatimaye
baadhi ya Wahaya walianza kuwanyoshea kidole Wasukuma kwamba eti
wanakamata ardhi kubwa kuliko wao, ingawa mapori hayo yalikuwa yanakaa
bure tangu uumbaji mpaka Wasukuma walipoyavamia kwa uzalishaji wa nguvu,
hata wakawa wakivuna magunia ya mpunga mpaka 700 mkulima mmoja. Kwa
hila za Wanyarwanda, Wahaya wa Muleba na sehemu zingine zilizofanyiwa
kazi ya ufitini na Watusi, walianza kujikusanya vikundi vikundi kuandika
barua za kuomba ardhi hiyo wanayozalishia Wasukuma, ili mashamba ya
Wasukuma yamegwe na kupewa wao, kusudi Wanyarwanda wajipatie kutoka
mikononi mwa Wahaya, ambao Watusi wanawachukulia kuwa wepesi zaidi wa
kuwapasia wao. Kwa
kuwatumia vibaraka wao kama Julius Rwechungura ambaye ni Mwenyekiti wa
Kijiji cha Kisana, Wanyarwanda siyo tu wameteka mamia ya ekari za ardhi
yetu, bali wamekuwa wanapiga vita siku zote ya kuwafukuza Wasukuma ili
wakamate wao maeneo yote. Uharamia huu ndio uliopelekea Mkurugenzi wa
Wilaya kumwamuru Afisa Mtendaji Kata ya Kyebitembe kuitisha mkutano wa
tarehe 27/3/2012 kuhusu malalamiko ya Wasukuma dhidi ya Wanyarwanda. Mkutano
huo ulipiga marufuku kumega ardhi yoyote inayotumiwa na wananchi wa
kabila la Wasukuma, kwa ajili ya mapinduzi ya uzalishaji waliyofanikisha
katika mkoa, walioingia katika maeneo hayo tangu mwaka 2007 hadi 2011.
Mkutano uliamuru pia kufutwa mashitaka ya kihaini yaliyofunguliwa na
kibaraka wa Wanyarwanda Julius Rwechungura, akitaka Wasukuma
wanyang’anywe mashamba yao ili wapewe Wanyarwanda. Kisha
Wanyarwanda walifanya kikao muhimu tarehe 31/10/2012 katika kanisa hilo
la Butera, chini ya uongozi wa Jasusi la Kagame liitwalo Innocent Mchunku Kapilipili. Agenda kuu ilikuwa kuchangisha shilingi milioni mia moja
kwa ajili ya kujihami nahiyoOpreshenidhidi yao, kwa kuwanunua viongozi
wote wa hiyo opresheni. Taarifa za uchunguzi wetu ni kwamba kweli mapesa
hayo yalichangwa na kuwasilishwa kwa Mkuu wa Wilaya Lemberis Kipuyo na
timu yake iliyoendesha unyama wa kutisha dhidi ya Wasukuma, badala ya
wahamiaji haramu. Uchunguzi
umethibitisha kuwa Mnyarwanda Innocent Mchunku Kapilipilialikuwa
jambazi, katika lile genge la hatari la maharamia kutoka Rwanda
waliojulikana kama “Wanyaru” chini ya kamanda wao aliyeitwa ‘Kamanda Dogo’.
Mnyaru huyu ameteka zaidi ya ekari 400 za ardhi yetu katika Kijiji cha
Nyamilanda, Kitongoji cha Nyakabingo, na Kijiji cha Kisana Kitongoji cha
Butera. Mtusi huyu anamiliki zaidi ya ng’ombe 500. Mnyarwanda mwingine muhimu katika kikao cha kanisani Butera ni Francis Magege, ambaye
amekamata ekari zaidi ya 400 katika Kijiji cha Nyamilanda, Kitongoji
cha Nyakabingo. Kikao hicho kilishirikisha pia Afisa Mtendaji wa Kijiji
cha Kisana, msaliti aitwaye Johanson Shumuni, Mwenyekiti wa Kijiji cha Kisana, msaliti aitwaye Julius Rwechungura, na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Nyamtundu Abdon Krophas. Msaliti
Johanson Shumuni ametoka katika kifungo cha nje cha mwaka mmoja, kwa
kosa la kung’oa mazao ya mwananchi wa Kijiji cha Nyamilanda, kusudi
Wanyarwanda wapitishe ng’ombe zao. Kibaraka huyu wa Wanyarwanda
alilipishwa pia fidia ya shilingi 70,000/- kwa ajili ya mazao ya
wananchi. Wasaliti
Johanson Shumuni, Julius Rwechungura na Abdon Krophas kwa pamoja wana
kashfa ya kukitapeli Kikotongoji cha Butera msitu wa asili wa mitundu,
wakivunga kwamba ni ‘Hifadhi ya Kijiji’ lakini wakawa wanapasua wao mbao
na kuzitoroshea nje ya nchi, mpaka moja ya malori ya mbao hizo
lilipokamatwa mwaloni Katunguru na kifikishwa Polisi Muleba, mwezi Mei
2010. Lakini watuhumiwa hawajawahi kufikishwa mahakamani mpaka leo, Vibaraka
hawa wa Wanyarwanda ndio wahusika wakuu katika kuwauzia ardhi yetu
wahamiaji haramu. Mhusika mwingine katika uuzaji wa ardhi kwa
Wanyarwanda ni Diwani wa Kata ya Karambi, Ngote, aitwaye Hamudi Abdalla, ambaye hivi sasa anamiliki zaidi ya ng’ombe mia mbili (200) kutokana na rushwa ya Wanyarwanda. Mwenyekiti wa Kijiji cha Kisana, msaliti Julius Rwechungura
alidiriki hata kuwafungulia mashitaka mahakamani wananchi wa kabila la
Wasukuma, kwamba eti wamevamia ardhi ya machungio ya Wanyarwanda! Kisha
aliwawekea dhamana yeye mwenyewe na kuwatoza shilingi 10,000/- kila
mmoja. Lakini kibaraka
huyo alilazimishwa na kikao cha tarehe 27/3/2012 kilichoamriwa na
Mkurugenzi wa Wilaya kufuta kesi hiyo, kwa sababu haiwezi kuwepo ardhi
ya Wanyarwanda ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Tanzania!
USHAHIDI WA UKATILI WA WANYARWANDA KWA RAIA WETU
Kwanza kabisa turejee mapokeo ya ile imani chafu sana ya Watusi, kwamba wao wana utu wa hali ya juu zaidi (superior race)
kuliko Wabantu. Unyama wa Wanyarwanda ni pamoja na kuwateka nyara raia
wetu, na kuwatumia kama watumwa wa kuswaga mifugo yetu waliyotupora. Mateka hawa huvuliwa nguo na kuvikwa vipande vya matambara vya kitumwa, na kubadilishwa majina. Mfano ni vijana wetu Opecatus Filipo wa Nsheshe, Kijiji cha Nyamilanda, Kata ya Kyebitembe ambaye aligeuzwa jina na kuitwa Peter, na Antelius wa Kabanga Kijiji cha Kasharara, Kata ya Karambi, aliyegeuzwa jina na kuitwa Rutashambya. Wanyarwanda
waliishi porini na hawa ‘watumwa’ kwa miaka miwili. Mmoja wao hatimaye
alifanikiwa kuwatoroka, akatoa taarifa Kituo cha Polisi Kyebitembe,
ambapo Mkuu wa Kituo hicho shujaa Inspekta Samson alifuatilia kwa
uhodari mpaka akafanikiwa kumwokoa yule kijana wetu wa pili. Wale
watekaji walikimbia msako huo baada ya kutonywa na msaliti Afisa
Mtendaji wa Rwabera, Karagwe, mwanamke aitwaye Alfredina. Raia
wetu hao waliokombolewa wana ushuhuda wa kutisha wa unyama uliokuwa
ukifanywa na Wanyarwanda. Wanaeleza njia za porini walizokuwa
wakipitishia mifugo yetu, mawasiliano ya Wanyarwanda kwa redio na simu
dhidi ya mipango yote ya serikali yetu ya kuwafuatilia na mifugo yetu
waliyopora. Vijana wanaeleza jinsi walivyotumika kuficha hayo makundi ya
ng’ombe zetu, na jinsi walivyoishi kama wanyamapori katika mvua kali na
jua na mateso mengi yasiyosemeka. Vijana
hawa wanashuhudia jinsi Wanyarwanda walivyomchoma raia wetu kwa upanga
wa moto mwilini, kwa kuthubutu kudai ujira wa kutumiwa kikatili
kutorosha ng’ombe waliopora katika nchi yetu mpaka huko maporini. Vijana
wanashuhudia jinsi wenzao walivyouawa na Wanyarwanda kama wanyama. Zaidi
ya yote, anaalaniwa vikali msaliti Johanson Shumuni ambaye ni Afisa
Mtendaji wa Kijiji cha Kisana, kwa kumfichia siri mwuaji katili wa
Kinyarwanda, ‘Mchungaji’ Augens mwenye hilo kanisa la Butera,
alipomwua kinyama mfanyakazi wake aliyekuwa anasimamia boti yake
iliyokuwa ikifanya kazi za magendo katika Ziwa Buligi, baada ya
kumtuhumu kwa wizi wa injini ya hilo boti lake. Shahidi mmojawapo wa
mauaji haya ni Benedicto Damian ambaye ni Mwenyekiti wa Kitongoji hicho
cha Butera. ‘Mchungaji’
hatari Augens pia anashughulika na uvuvi haramu wa kutumia makokoro,
unaoangamiza mpaka mbegu ya samaki kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo, Mtusi
mwingine aliyeua kinyama raia wetu ni Mchungaji wa kanisa la Mnyarwanda
Francis Magege. Huyu alimwua aliyekuwa mchungaji wa ng’ombe zake, baada
ya siku tatu akaenda kutoa taarifa ya uongo Polisi kwamba marehemu
ameuawa na nyoka. Baada ya kugundulika mwili wa huyo marehemu machakani
na kuchunguzwa na Dr. Mtumbi, iliripotiwa kwamba aliuawa kikatili sana
kwa kitu kizito chenye ncha kali. NdipoMnyarwanda
huyo ‘Mchungaji’ aligeuza kibao na kusema marehemu ameuawa na Msukuma
eti aliyekuwa amegombana naye kwa sababu ya kulisha ng’ombe mazao yake.
Lakini uchunguzi unaonyesha kuwa marehemu aliuawa baada ya kudaiana na
huyo mwajiri wake ‘Mchungaji’. Mashahidi muhimu ni pamoja na huyo
Daktari aliyefanya uchunguzi, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Butera, na
kijana aliyekuwa anachunga pamoja na marehemu, ambaye alikimbilia Ngara. KWAHIYO
kwa ajili ya usalama wa Nchi yetu, na heshima na Uhuru wa kweli wa
Taifa letu, na sifa ya Taifa letu ya kupigania HAKI na utu wa mwanadamu,
tunasisitiza kwamba: 1. Watu
wote waliohusika na unyama wa kutisha dhidi ya wananchi wa kabila la
Wasukuma Mkoani Kagera, pamoja na Wanyarwanda wote waliohusika na unyama
huu wakamatwe na kufikishwa mbele ya sheria. Watuhumiwa ni pamoja na
Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Lemberis Kipuyo . 2. Wananchi wote waliofanyiwa ukatili huu walipwe fidia ya mateso yote na hasara zote walizosababishiwa na unyama huu. 3. Mamia
ya maelfu ya ng’ombe zilizoingizwa nchini mwetu kutoka Uganda na Rwanda
zikamatwe na kupigwa mnada, ili fedha hiyo itumike kuboresha Hifadhi
zetu na mazingira ya Nchi yetu.
KUHUSU GENOCIDE MAZIWA MAKUU
4. Taifa
letu lisimame kinyume kabisa na uharamia wa kuvamia Nchi yoyote huru
duniani, ikiwa ni pamoja na uvamizi wa Jamhuri ya Rwanda na uvamizi na
uporaji wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, uliofanywa na Watusi wa RPF
na Uganda. 5. Taifa letu lilaani imani chafu ya Watusi (apartheid nyeusi)
kwamba wenzao eti waliumbwa kuwa watumwa wao, hivyo kudai usawa wa
kibinadamu eti ni uasi wa kuangamizwa kama wanavyofanywa Wahutu. 6. Taifa
letu liusaidie ulimwengu kujua ukweli kwamba Watusi ndio walioendesha
genocide ya kutisha duniani, kwa kuangamiza Wahutu zaidi ya 6,000,000,
zaidi ni mauaji yaliyofanywa na dikteta Paul Kagame wa Rwanda, ambaye
ndiye mtuhumiwa Mkuu wa genocide ya Maziwa Makuu. 7. Taifa letu lihakikishe pia kwamba mwuaji Paul Kagame na wenzake wote wanafikishwa mbele ya Sheria kujibu mashitaka ya genocide. 8. Taifa
letu lifanye TOBA kwa mwenyezi Mungu kwa kudhamini unyama wote
uliofanywa na Watusi, ukiwa ni pamoja na mauaji ya marais watatu wa
Kihutu wa mataifa ya Rwanda na Burundi, marehemu Rais Melchior Ndadaye,
marehemu Rais Juvenal Habyarimana na marehemu Rais Cyprien Ntaryamira. 9. Taifa
letu lifanye TOBA kwa kuikaribisha ICTR Arusha, na kuifukuza katika
Nchi yetu mara moja, kwa sababu siyo siri kwamba ICTR ni nyenzo ya
kusaidia genocide ya dikteta Paul Kagame ya kuwamaliza Wahutu.
10. Taifa
letu lipige vita ukatili wa kuendelea kuwashikilia kifungoni Wahutu
waliotamkwa na hiyo ICTR kwamba hawana hatia, na kuwatetea kwamba
walipwe fidia kwa unyama wote waliotendewa na Kagame pamoja na ICTR
na/au UNO. 11. Taifa
letu lihakikishe kuwa Rwanda, Burundi na Uganda zinafutwa uanachama
katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Kwa sababu sharti kuu la
uanachama ni Haki za Binadamu, Demokrasia na Utawala wa Sheria, lakini
hizi ni tawala za Udikteta wa kikatili na Umwagaji damu. 12. Taifa letu lihakikishe kwamba Dikteta Paul Kagame anamwachia huru mara moja mwanamke mpinzani wake, shujaa Victoire Ingabire,
ili akakataliwe na wananchi wenyewe wa Rwanda au wampe uongozi kama
wanaona atawafaa. Kutoona haya mbele ya dunia kwa unyama huu,
kunadhihirisha Kagame kuwa si binadamu wa kawaida!
Liberty International Foundation
Reverend Christopher Mtikila
(0766 053081, 0713 435016 )
EXECUTIVE CHAIRMAN
Nathani wewe Mtikili kabisa uko mpumbavu, inaonekana kwamba wewe ni mbguzi katili tena inawezekana kwamba unawachukia Wanyarwanda (watusi), hata mtu awe mubaya, hebu watusi (wanyarwanda) wote ni wabaya? Sidhani. Mundu akuendelee.
ReplyDeletePeter Lipumba, Mwanza
Maneno unayotamka na title unayojipa haviendani kabisaaa. Ni wazi kwamba wewe una support watenda maovu, si basi ue mwana siasa kuliko kudanganya watu kuwa we ni mchungaji! Ila labda ni mchunga ng'ombe siyo mchungaji nayemfahamu
ReplyDelete