Waziri wa Ujenzi Nchini Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu wa
Zimbabwe Morgan Tsvangirai wamekaribishwa na Waziri Mkuu wa Kenya Raila
Odinga kuhudhulia uzinduzi wa Kampeni uchaguzi mkuu wa Kenya utakaofanyika
mwanzoni mwa mwaka 2013.
Uzinduzi huo uitwao " 2nd National Delegates
Convention" unafanyika leo Desemba 7, 2012.
No comments:
Post a Comment