DICKSON VEDASTUS WASIWASI ALIZALIWA 7/07/1996 KATIKA HOSPITALI YA
RUFAA BUGANDO MWANZA, KIBOFU CHA MKOJO KIKIWA NJE (KIKIONEKANA
WAZIWAZI), MADAKTARI WAMEMFANYIA MATIBABU KUPITIA OPARESHENI MARA TATU
BILA MAFANIKIO.
OPARESHENI YA KWANZA ILIFANYIWA AKIWA NA MIEZI MIWILI, OPERESHENI YA
PILI IKAFUATIA NA YA TATU IKAFANYIKA MWAKA 2000 HAPO HAPO HOSPITALI YA
BUGANDO, LAKINI KWA BAHATI MBAYA ZOTE HAZIKUZAA MATUNDA.
GHARAMA ZA MATIBABU NI SHILINGI MILIONI 20, NAYE HANA UWEZO HIVYO AMEOMBA WASAMALIA WEMA KUMSAIDIA KUNUSURU ADHA NA MATESO AYAPATAYO MTOTO WAKE.
CHANGIA KUPITIA AKAUNTI ZIFUATAZO:-
CRDB 0152457709500
AZANIA 003003005102370001
SIMU 0762324527 OR 0683580004
Source: http://gsengo.blogspot.com/2012/11/mtoto-aliyezaliwa-kibofu-cha-mkojo.html
No comments:
Post a Comment