Watuhumiwa wa mauaji ya RPC Barlow wafikishwa Mahakamani leo
Kwa usiri mkubwa huku mvua ikinyesha na ulinzi mkali, watuhumiwa watano
ambao walikamatwa Dar es salaam leo wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa
na mashitaka ya kuhusika kumuua aliyekuwa kamanda wa Polisi mkoa wa
Mwanza.
No comments:
Post a Comment