Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali mwenyekiti wa UDP Mh.John
Momose Cheyo aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es
Salaam.Katikati ya Rais na Mama Salma ni Mjukuu wa Mheshimiwa Cheyo
anayejulikana kama Gabriel Cheyo. (Picha Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment