Katika gazeti la Mwananchi Mei 15 2013 kumetolewa Tangazo la Wakili
Eric S. Ng'maryo (Mei 14, 2013) likielekezwa kwa Mheshimiwa Mchungaji
Peter Simon Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini likimtaka Kumfutia Kashfa na
Kumtaka radhi Abdulahman Kinana.
Naweka nakala ya Tangazo hilo hapa;
No comments:
Post a Comment