Search This Blog

Thursday, May 16, 2013

SIMONI JUMBE TAPELI WA TAKUKURU

Ametapeli watu zaidi ya 12 na kujipatia fedha kiasi cha Sh4,637,000 kwamba atawapatia ajira Takukuru.
Ameshiriki kingono na wanafunzi 24 wa Chuo cha SAUT, 23 wa chuo cha ualimu Butimba kwa ajili ya kuwalaghai kuwa atawapatia nafasi ya ajira Takukuru.
Akiwa katika utapeli wake amekuwa akijitambulisha kwa majina ya Simon Jumbe ambalo linadaiwa kuwa jina lake halisi, lingine ni Mapunda na PS.
Katika kupekuliwa amekutwa akiwa na Irizi moja ya kishirikina ambayo alidai anaitumia kufanikisha kazi yake. Imethibitishwa na Kamanda wa Takukuru mkoa wa Mwanza Ayoub Akida.

No comments:

Post a Comment