Search This Blog

Wednesday, June 5, 2013

HIVI NDIVYO WANAVYONG'OA MENO KWA KOLEO: ANGALIA VIDEO

Kwa kipindi sasa nchi yetu imekuwa ikigubikwa na matukio ya vitendo vya Kialifu kama vile vya ung'oaji wa Kucha na Meno bila ya kutumia Sindano ya Ganzi. Vitendo hivi vimewakuta baadhi ya watu hapa nchini akiwemo Dk. Stepehen Ulimboka, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Absalom Kibanda.
Video hii unaonyesha moja ya njia ambazo zinatumika KUNG'OA MENO bila ya ganzi.

MUHIMU: Hii ni picha ya Video yenye kusikitisha na kuumiza sana, tafadhari tunaomba kama una roho nyepesi usiangalie Video hii.


No comments:

Post a Comment